BODY GUARD NI MIONGONI MWA FILAMU KALI TOKA ASIA MWAKA HUU.

Body Guard ni moja ya filamu zinazopigiwa kura nyingi sana kwa mwaka huu na wafuatiliaji filamu hizi za kihindi. watayarishaji wa filamu na tansia ya filamu  chini india inakuwa kwa kasi sana sasa ingawa kazi nyingi zilizochangia kukua kwa kasi kwa tasnia yao ni zile kazi walizo iga toka hollywood  na kuzifanya katika mazingira yao huko india na kuzifanya vizuri. 
hata hii filamu ya body guard nina shaka nayo wamekopi toka ile filamu iliyotayarishwa siku za nyuma kidogo huko hollywood iliyokwenda kwa jina la THE BODYGUARD.

Posted by Osxarguder • The Creator • on 3:27 PM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for BODY GUARD NI MIONGONI MWA FILAMU KALI TOKA ASIA MWAKA HUU.

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.
slide

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION

Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign