MIONGONI MWA PICHA ZA UTOAJI TUNZO ZA APPRECIATION ZA MAREHEMU STEVEN KANUMBA.

kushoto anaanza meya wa kinondoni na katika ni millard ayo akipokea tunzo aliyotunikiwa kama mwandishi na mtangazaji  wa redio aliyeshirikiana kwa karibu sana na familia ya marehemu steven kanumba tangu afariki nyota huyu wa filamu kwenye enzi za uhai wake. Millard alionesha bidi za hali ya juu sana pale alipoaanda makala maalumu iliyomuhusu marehumu Steven Kanumba kuanzia maisha yake kule kijijini mpaka maisha ya ustaa na mafanikio yake kisanaa hapa mjini.
 
Millard ayo na  mama yake Steven Kanumba
 Simon Mwakifamba-Rais wa TAFF akipokea tunzo kutoka kwa mama wa marehemu juu ya jukwaa.Posted by Oscar TheCityDriver on 2:13 PM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for MIONGONI MWA PICHA ZA UTOAJI TUNZO ZA APPRECIATION ZA MAREHEMU STEVEN KANUMBA.

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.
slide

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION

Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign