STEVEN KANUMBA MEMORIAL DAY NI LEOFAMILIA YA MAREHEMU STEVEN CHARLES KANUMBA KWA KUSHIRIKIANA NA BONGO FILM DATA BASE ILIYOPO CHINI YA KAMPUNI YA POINT INC IMEKAMILISHA ZOEZI LA UTENGENEZAJI TUNZO ZA APPRECIATION KWA WADAU KADHA WA KADHA LEO HII ZITAKAZOTOLEWA KESHO 7/4/2012 AMBAYO NI SIKU AMBAYO ALIFARIKI DUNIA KANUMBA NA NI MWAKA MMOJA SASA UMETIMIA TANGU AIAGE DUNIA.

APPRECIATION
AWARD

In Memory of a great Tanzanian Film Actor of his age
''STEVEN KANUMBA''

HAYO NDIYO MANENO YALIYOPO KWENYE HIZO TUNZO WADAU WENZANGU FILAMU HAPA NCHINI.

KANUMBA MEMORIAL DAY NI KESHO..
R.I.P BROTHER

Posted by Oscar TheCityDriver on 2:18 PM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for STEVEN KANUMBA MEMORIAL DAY NI LEO

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.
slide

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION

Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign